Maafisa wagundua hati milioni zaidi zinazoweza kuhusiana na kesi ya Epstein
Taarifa hizi zinajitokeza baada ya idara ya sheria kutoa maelfu ya hati wiki iliyopita – baadhi zikiwa zimefanyiwa marekebisho sana – zinazohusiana na uchunguzi wa Epstein.
Taarifa hizi zinajitokeza baada ya idara ya sheria kutoa maelfu ya hati wiki iliyopita – baadhi zikiwa zimefanyiwa marekebisho sana – zinazohusiana na uchunguzi wa Epstein.
Barcelona wameweka kando nia yao ya kumsajili Marc Guehi baada ya mazungumzo na mawakala wake, huku Marcus Rashford akisema anataka kuendelea kusalia katika klabu hiyo ya Hispania. Crystal Palace pia … Read More
Ajali hiyo imetokea Jumatano ya Desemba 24 , katika eneo lililopo kati ya kilele cha Kibo na Barafu Camp, moja ya njia zinazotumiwa sana na watalii wapandaji wa mlima huo … Read More
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Vita vya karibuni kati ya Urusi na Ukraine pamoja na mizozo ya Iran na Israel vinaonyesha kuwa nguvu ya meli inategemea zaidi ufahamu wa kiteknolojia, mfumo wa ulinzi, na uwezo … Read More
Papa Leo XIV amezungumzia mara kwa mara wasiwasi wake kuhusu jinsi wahamiaji wanavyotendewa nchini Marekani, mwezi Novemba alitaka “tafakari ya kina ifanyike” kuhusu jambo hilo.
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Ripoti ya benki ya dunia ya 2024 inaonyesha kuwa eneo la Kusini mwa Jangwa la Sahara lilikua kwa asilimia 3.8 mwaka huo, na inatarajiwa kufikia kati ya asilimia 4.1 na … Read More