Tetesi za soka Ulaya: Rashford hataki kurudi Man United

Barcelona wameweka kando nia yao ya kumsajili Marc Guehi baada ya mazungumzo na mawakala wake, huku Marcus Rashford akisema anataka kuendelea kusalia katika klabu hiyo ya Hispania. Crystal Palace pia wanatarajiwa kushindana na West Ham kumsajili Jorgen Strand Larsen wa Wolves.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *