Author: akejomedia
Maafisa wagundua hati milioni zaidi zinazoweza kuhusiana na kesi ya Epstein
Taarifa hizi zinajitokeza baada ya idara ya sheria kutoa maelfu ya hati wiki iliyopita – baadhi zikiwa zimefanyiwa marekebisho sana – zinazohusiana na uchunguzi wa Epstein.
Tetesi za soka Ulaya: Rashford hataki kurudi Man United
Barcelona wameweka kando nia yao ya kumsajili Marc Guehi baada ya mazungumzo na mawakala wake, huku Marcus Rashford akisema anataka kuendelea kusalia katika klabu hiyo ya Hispania. Crystal Palace pia … Read More
Watano wafariki helikopta ikianguka mlima Kilimanjaro
Ajali hiyo imetokea Jumatano ya Desemba 24 , katika eneo lililopo kati ya kilele cha Kibo na Barafu Camp, moja ya njia zinazotumiwa sana na watalii wapandaji wa mlima huo … Read More
Dira Ya Dunia
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Featured

