Ripoti ya benki ya dunia ya 2024 inaonyesha kuwa eneo la Kusini mwa Jangwa la Sahara lilikua kwa asilimia 3.8 mwaka huo, na inatarajiwa kufikia kati ya asilimia 4.1 na 4.3 katika kipindi cha 2026 – 2027. Hata hivyo, takwimu hizi za uchumi wa juu hazioneshi hali halisi ya watu wengi.
Kwanini uchumi wa Afrika unakua lakini umasikini haupungui? Je, 2026 itakuwa tofauti?




















Leave a Reply